MWALIMU NYERERE MUASISI WA SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA






Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye muasisi wa Shirika la Elimu Kibaha. Aliona kwamba ili maendeleo yaweze kuwepo ni lazima Shirika lijikite katika kupambana na maadui wakuu watatu wa maendeleo ambao ni Ujinga, Umasikini na Maradhi.

Shirika kwa sasa lina zaidi ya miaka 40 tangu kukabidhiwa rasmi  kwa mradi wa Tanganyika Nordic Project kwa Mwalimu Nyerere tarehe 10 Januari, 1970 na kuwa Shirika la Elimu Kibaha.

1 comment:

  1. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere atakumbukwa daima

    ReplyDelete

Powered by Blogger.